Usiwakadirie Watu, usidharau, usichukulie poa watu, Mana wenzako wanapambana kubadili historia ya maisha yao na kushinda vita ambazo Wazazi wao hawakuzishinda,Wao ndio wamebeba dhamana ya kubadili historia ya familia zao, kama huwezi kuwasaidia, usinunue silaha ili upigane nao”.