Tausi jike hutaga yai moja hadi manane na
anatamia kati ya siku 21 - 35 kutegemeana na
hali ya hewa,Jike akiwa kwenye mayai dume
hufanya kazi ya kumletea chakula hapo kwenye
kiota.Na chakula chao ni mijusi,nyoka wadogo,
mbegu za nafaka na mizizi laini.