Huhifadhi fedha za dharula kwa ajili ya majanga yoyote yanayoweza kutokea. Na ukipatwa na janga lolote, hukurudisha nyuma na kuanza upya. Pia huna tabia ya kulipa madeni/ bili zako mapema na kusubiri ziwe nyingi na "kukomba" kipato chako chote.

Unaishi kwa kuangalia watu wengine wanakuchukuliaje… Si mashindano! Eti tu kwa kuwa rafiki yako mpendwa kanunua Simu ya kisasa sana basi kwanini na wewe usiuze ya kwako ununue kama yake bila kujali uwezo wako ni kiasi gani. Au mimi ni mashuhuli sana sitakiwi kuonekana kwenye daladala/bodaboda ntakodi tax.
Muoga wa kujaribu Njia zingine Mbadala za kujipatia kipato (kukosa maamuzi magumu) na kujikuta unategemea kipato kwa shughuli ya aina moja ambayo pengine imepitwa na wakati.