Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muoga wa kujaribu Njia zingine Mbadala za kujipatia kipato (kukosa maamuzi magumu) na kujikuta unategemea kipato kwa shughuli ya aina moja ambayo pengine imepitwa na wakati.
 
Huamki mapema na umekuwa mtu wa kuchelewa kila siku na hata ukiamka huifurahii siku yako!
 
Huna Subira, Unahitaji hela nyingi kwa haraka na kudharau hela ndogo. Unaamini kuna njia za mkato kwa ajili ya kupata hela ya haraka na utajiri. HAKUNA NJIA YA MKATO .
 
Umekuwa mtu wa reja reja hufanyi manunuzi ya pamoja na kujikuta unatumia kiasi kikubwa zaidi cha fedha
 
Unatumia fedha zaidi kuliko kipato chako tena kwa mambo yasiyokuwa na umuhimu kama ulevi, starehe nk. Na matokeo yake unaishi kwa Kuangalia Leo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…