Maisha bora ni yale yenye uwiano kati ya malengo yako, juhudi zako na mapumziko yako. Endelea kuota makubwa lakini chagua njia sahihi ya kuyafikia hayo makubwa. Njia bora sio tu ile inayokufikisha haraka, bali ile inayokufanya ujifunze na kufurahia safari yako pia.