myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ndoto yako itabaki kuwa ndoto ikiwa huwezi kujitoa mhanga ili itimie ukijua nini unataka nenda kwa ujasiri mahali ambako wengine hawawezi kwenda fanya vitu ambavyo wengine wanaviogopa au wanavionea aibu ndoto hazitimizwi kwa maneno wala wishes KAZA UNAWEZA

Katika Maisha Kila Mtu Ana Juhudi Zake Za Kupambana , Kuna Waliofanikiwa Na Ambao Wako Katika Mnyororo Wa Mafanikio, tabia ya Baadhi ya Watu Kuhisi Kwamba Waliofanikiwa wote Wamebebwa Inafanya Wao Wasifanikiwe Kwa Kutopambana na kuamini kwamba hawawezi fanikiwa pasipo kubebwa.
Watu Wengi Wanapenda Kukuta Mkate Mezani Lakini , Ni Wagumu Kuungana Katika Wakati Wa Kuutafuta Mkate Huo, Wanapenda Kukuta Mkate Umeandaliwa Na Wao Wale tu bila Kutoa Jasho Lao . katika Mafanikio Mkienda Pamoja Mtakula Pamoja Mkate huo Vizuri.
Maisha ni hatua, kila mtu ana zake, usitamani na kuchukia hatua za mwenzako, pambana na hatua zako, kuna hatua ndefu na fupi, hatua zako ukizipambania zitakuwa ndefu, unaemuona leo Kapiga hatua ndefu alizipambania, usimchukie jifunze na kumdadisi aliwezaje kuwa na hatua ndefu .

Katika Maisha kuna baadhi ya Ndugu yapaswa kukaa nao mbali Sana , Baadhi ya Ndugu huwa wa kwanza Kuchukia ukifanikiwa, Badala ya kufurahia mafanikio yako huwa wa Kwanza kuchukia, Wanasahau kwamba mafanikio yako ndiyo Mafanikio Yao, jifunze Kuishi nao kwa akili.

✔️✔️Watu Wengi Tunapenda Kusikia Mambo Yanayotufurahisha au Mazuri Pekee Katika Maisha , Tunasahau Kwamba Mambo Yasiyofurahisha Pia Yanamchango Mkubwa Sana Katika Ustawi Wa Maisha Yetu. Mwisho wa Yote Kwa Pamoja Ndo Yanafanya Maisha Yaendelee.
Watu Wengi Tunapenda Kusikia Mambo Yanayotufurahisha au Mazuri Pekee Katika Maisha , Tunasahau Kwamba Mambo Yasiyofurahisha Pia Yanamchango Mkubwa Sana Katika Ustawi Wa Maisha Yetu. Mwisho wa Yote Kwa Pamoja Ndo Yanafanya Maisha Yaendelee.
Maisha ni hatua, kila mtu ana zake, usitamani na kuchukia hatua za mwenzako, pambana na hatua zako, kuna hatua ndefu na fupi, hatua zako ukizipambania zitakuwa ndefu, unaemuona leo Kapiga hatua ndefu alizipambania, usimchukie jifunze na kumdadisi aliwezaje kuwa na hatua ndefu .
Mara Nyingi Vijana Wengi Wanapofanya Jitihadi Nyingi Katika Kupambana na Changamoto za Maisha , Kuna Watu Wa Karibu yao Huwa Hawawasapoti, kesho Wakifanikiwa , Wanakuwa wa kwanza Kuomba Msaada na Kulalamika eti Hawapokei Simu Zao
Katika Maisha Ukiwa Kama Kijana Unatakiwa Kupambania Maisha Yako , Ukipata bahati ya Kukutana na Mtu ambae Unahisi Anaweza kukusaidia Muombe Akusaidie lakini siyo Tabia ya Kuomba Pesa kila wakati Unapokutana Nae! Tuendelee Kujifunza

Katika Hii Dunia Halisi , Watu Werevu Ni Wale Wanaofanya Makosa Na Kujifunza Kupitia Makosa Yao .Tunaweza Kujifunza kupitia Makosa Yetu . Hakuna Binadamu Aliyekamilika, tunachotofautiana ni Namna ya Kung’amua Utayari wa Kujifunza. Maisha ni Mafunzo endelevu.
Mambo Mengi Mazuri ya watu katika Maisha tunayoyaona, watu wake walijituma, walifanya jitihada, hawakuwa wavivu, hawakuwa wazembe, hawakuwa goi goi , tukiwaiga tunaweza kufanikiwa kama Wao, Muda bado upo tusikate tamaa.