myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SAWASAWAUKITAKA KUISHI KWA AMANI NA UTULIVU NA SIMBA, USIMSHIKE MKIA. MAISHA NI PAMOJA NA KUELEWA WAPI PA KUGUSA NA WAPI SIO PA KUGUSA
Watu Wabaya ni Wengi sana Hapa Duniani Lakini Usiogope , Endelea Kutenda Wema, watu wema bado wapo Duniani japokuwa ni Wachache. Tenda wema , wajali wenzio, wakumbuke kwa mema pia
πππWatu Wabaya ni Wengi sana Hapa Duniani Lakini Usiogope , Endelea Kutenda Wema, watu wema bado wapo Duniani japokuwa ni Wachache. Tenda wema , wajali wenzio, wakumbuke kwa mema pia
Katika maisha kila mtu anaweza Kuwa vile anavyotaka Kuwa , Kwa Juhudi zake mwenyewe na kupata Msaada Kutoka Kwa watu wanaomzunguka, Ukikosa Msaada ni ngumu kufanikiwa ila Bado inawezekana, Tusikate Tamaa, Tuendelee Kupambana Mpaka tone la Mwisho la Jasho.
Katika Maisha ikitokea mtu unayempenda nyumba yake inaungua moto, lakini wewe uko na ndoo ya maji umeishikilia mkononi hata hufanyi chochote, unategemea wanaokuona watakufikiliaje..? wengi wetu Tumeshikilia ndoo za maji mkononi Huku tukiitazama Nyumba ikiungua.
β οΈβ οΈβ οΈKatika Maisha ikitokea mtu unayempenda nyumba yake inaungua moto, lakini wewe uko na ndoo ya maji umeishikilia mkononi hata hufanyi chochote, unategemea wanaokuona watakufikiliaje..? wengi wetu Tumeshikilia ndoo za maji mkononi Huku tukiitazama Nyumba ikiungua.
βοΈβοΈβοΈKatika maisha kila mtu anaweza Kuwa vile anavyotaka Kuwa , Kwa Juhudi zake mwenyewe na kupata Msaada Kutoka Kwa watu wanaomzunguka, Ukikosa Msaada ni ngumu kufanikiwa ila Bado inawezekana, Tusikate Tamaa, Tuendelee Kupambana Mpaka tone la Mwisho la Jasho.
SawasawaUKITAKA KUISHI KWA AMANI NA UTULIVU NA SIMBA, USIMSHIKE MKIA. MAISHA NI PAMOJA NA KUELEWA WAPI PA KUGUSA NA WAPI SIO PA KUGUSA
Matatizo ndo kitu pekee ambacho kitakufanya utengeneze idadi ndogo ya marafiki na idadi kubwa ya wanafiki
Mafanikio ni safari ndefu katika safari hiyo utafanya makosa, utapata changamoto, lakini ukitaka kufanikiwa , unahitaji kuwa muungwana, mvumilivu, nidhamu, na kujitoa , hakuna mafanikio bila juhudi
βοΈβοΈβοΈUKITAKA KUISHI KWA AMANI NA UTULIVU NA SIMBA, USIMSHIKE MKIA. MAISHA NI PAMOJA NA KUELEWA WAPI PA KUGUSA NA WAPI SIO PA KUGUSA
Kimsingi twapaswa kujua katika maisha, wale watu ambao hukutegemea kabisa kwamba siku moja watakuja kukusaidia ndiyo huwa wa msaada kwako, na wale ambao wewe ulikuwa na matumaini nao wanakuja kukuangusha na wasambaza chuki dhidi yako, tenda wema nenda zako usingoje shukrani
Kuna baadhi ya watu kuishi nao yataka moyo, watakufanyia kila vitimbi ilimradi tu uwaonyeshe kucha zako na wapate cha kukusema kwa watu wengine, tuendelee kuwavumilia , na kuwaelewa walivyo, kwani hayo ndiyo mapungufu yao, tuwasamehee

Katika maisha kila mtu ana ndoto zake , lakini tofauti iliyokuwepo ni kwamba wengine wanazifanyia kazi ndoto zao na kufanikiwa na wengine wanaota tu pasipo Kuchukua hatua , tusiwe watu wa kuziacha ndoto zetu zikiteketea, tuzifanyie kazi kwa mafanikio yetu