myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuumia ni sehemu ya maisha, kakuumiza, kakupotezea muda, kakukimbizia wenye maana katika maisha yako, na pia anaendelea kukufuatilia, msamehe nenda zako watakuja wenye maana zaidi yake , maisha ni hatua , piga hatua nyingine , lakini usirudi nyuma, ipo siku atakukumbuka .

Inawezekana unatazama mwili wako kwa juu juu pekee bila kufahamu mambo mengi yaliyojificha kwenye mwili wako. Ni hakika kuwa mwili umeumbwa kwa namna ya pekee sana inayouwezesha kufanya kazi pamoja na kuonekana jinsi ulivyo.
4. Wanawake hupepesa macho zaidi
Inaaminika kuwa wanawake hupepesa macho (blink) mara mbili zaidi kuliko wanaume.

3. Uwezo mkubwa wa kufikiri unahusiana na kiasi cha ndoto mtu anazoota
Inaaminika kuwa watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri (Intelligent Quotient – IQ) huota ndoto nyingi zaidi kuliko watu wenye IQ ndogo.

2. Kila mtu ana harufu yake
Mbali na mapacha wa kufanana, kila mtu ana harufu yake ya pekee inayomtofautisha kati yake na mtu mwingine.

1. Ubongo unatumia asilimia 20 ya oksijeni pamoja na kalori
Ni wazi kuwa utendaji kazi wa ubongo unahitaji oksijeni asilimia 20 pamoja na kalori kutoka kwenye mwili ili kufanya kazi jinsi ipasavyo.

5. Wanaume hupata kwikwi kuliko wanawake
Kwikwi ni mkazo wa ghafla na usio wa hiari wa misuli ya kiwambo unaosababisha pumzi kutokea kinywani na sauti ya kugugumia kutokana na hewa kuingia kwenye umio. Hivyo tafiti zimebaini kuwa wanaume hupata kwikwi mara mbili zaidi ya wanawake.
Sawasawa11. Nywele zinaweza kuishi kwa miaka 3 hadi 7
Je wajua kuwa nywele za binadamu ni sehemu hai ya mwili? Nywele za binadamu zinaweza kuishi kwa miaka 3 hadi 7.
SAWA10. Asilimia 75 ya ubongo ni maji
Naamini unafahamu kuwa asilimia 70 ya mwili wa binadamu ni maji. Lakini je wajua kuwa asilimia zaidi ya 75 za ubongo wa binadamu ni maji? Fahamu hili sasa.
Sahihi kabisa9. Konea ni sehemu ya jicho isiyopelekewa damu
Konea (cornea) sehemu angavu ya mbele kwenye jicho. Hii ni sehemu pekee kwenye mwili isiyokuwa na damu; sehemu hii hupata oksijeni moja kwa moja kutoka kwenye hewa.