myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππ25. Kidole cha mwisho ni muhimu sana
Ikiwa mtu atakikosa kidole cha mwisho au kidogo cha mkono wake, basi nguvu za mkono wake zitapungua kwa asilimia 50.
KweliTausi ni ndege
wanaopatikana katika mabara yote isipokuwa
bara la Antarctica na huko ni sababu ya hali ya
baridi kali katika bara hilo.
SawasawaTausi dume kwa kingereza anaitwa "Peacock"
na Tausi jike anaitwa "Peafowl".
Tausi huyo wala sio ndege, ila ni mwanadamu...mwenye kusifika...Tausi ni ndege
mwenye rangi ya bluu na kijana japo wapo pia
wenye rangi nyeupe,ila wenye rangi hii ni adimu
sana kuwaona
Uko SawasawaUnapoona ndega Tausi kainua mkia hapo ni
kipindi cha dume huyo kuhitaji jike,tambua
kuwa Tausi anayechanua mkia ni Tausi dume
na siyo Jike.
Sawasawa βοΈTausi jike hutaga yai moja hadi manane na
anatamia kati ya siku 21 - 35 kutegemeana na
hali ya hewa,Jike akiwa kwenye mayai dume
hufanya kazi ya kumletea chakula hapo kwenye
kiota.Na chakula chao ni mijusi,nyoka wadogo,
mbegu za nafaka na mizizi laini.
πππBaada ya jike kuvutiwa na dume hulisogelea na
kisha kuanza kurukaruka karibu ili kuonyesha
kukubali hapo dume hufurahi sana na moja
kwa moja huruka pamoja na kwenda kutafuta
mti mrefu kwa ajili ya kujenga kiota chao,
maisha mapya huanzia hapo.
β οΈβ οΈβ οΈKama ukibahatika kuona Tausi wakicheza basi
tukio hilo laweza likawa tukio ambalo
halitakuto kirahisi kichwani kwako,ni mchezo
unaovutia na kufarahisha sana.Mchezo huo
kwa lugha ya kingereza umepewa jina la "
Peacock mating dance".
πππKama ukibahatika kuona Tausi wakicheza basi
tukio hilo laweza likawa tukio ambalo
halitakuto kirahisi kichwani kwako,ni mchezo
unaovutia na kufarahisha sana.Mchezo huo
kwa lugha ya kingereza umepewa jina la "
Peacock mating dance".
βοΈβοΈβοΈKipindi hicho madume ndiyo
huonyesha mbwembwe za hatari,utasikia milio
na kurukaruka kwa dume hapo ndipo majike
huchanyikiwa na uzuri wa madume.
Unapoona ndega Tausi kainua mkia hapo ni
kipindi cha dume huyo kuhitaji jike,tambua
kuwa Tausi anayechanua mkia ni Tausi dume
na siyo Jike.
Mkia wa Tausi dume huwa na manyoya zaidi
ya 200 na hayo ndiyo yanayompata Jike,kwani
majike wanavutiwa na dume mwenye mkia
mkubwa na mzuri.
Ndege Tausi wanalindana sana kwenye hatari
hasa anapotokea Paka shume (Paka pori) na
nyoka wakubwa.
Tausi ni ndege rafiki na wanadamu na
wanadamu wanampenda sana Tausi.
Wanadamu wanatumia pia jina la Tausi kwa
kuita watoto wao wakike.
NAKUBALI NA WEWENchini India
Tausi ni ndege mwenye heshima kubwa sana.
Tausi wanaweza kuishi mpaka miaka 20 ikiwa
watakuwa mahala salama.
Tausi ni ndege rafiki na wanadamu na
wanadamu wanampenda sana Tausi.
Wanadamu wanatumia pia jina la Tausi kwa
kuita watoto wao wakike.
Ni kweliNdege Tausi wapo karibu kila kwenye Ikulu ya
nchi,kwa hapa Tanzania wapo Ikulu jijini Dar es
Salaam unaweza kwenda kuwaona.
SawaNdege Tausi wapo karibu kila kwenye Ikulu ya
nchi,kwa hapa Tanzania wapo Ikulu jijini Dar es
Salaam unaweza kwenda kuwaona.
ππTausi wana kitu kimoja cha ajabu sana kwenye
rangi,rangi ya manyoa yao ndiyo huwa rangi ya
macho yao.
Ujumbe muhimuKukubalika sana sio kipimo cha kukufanya ujione kuwa huna kasoro ni vile ndani ya hizo kasoro zako zipo timilifu zilizovutia ukubalike hivyo punguza majivuno na dharau.