myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
MuhimuFaragha ndio utu wa mtu. Itunze.
Kukubalika sana sio kipimo cha kukufanya ujione kuwa huna kasoro ni vile ndani ya hizo kasoro zako zipo timilifu zilizovutia ukubalike hivyo punguza majivuno na dharau.
📌📌Fadhila ikizoeleka, hugeuka na kuwa haki." ~Togolani Mavura.
✔️✔️Matatizo mengi kwenye maisha yako ya sasa ni matatizo madogo ya zamani yaliyodharauliwa." ~Togolani Mavura
👍👍Matatizo mengi kwenye maisha yako ya sasa ni matatizo madogo ya zamani yaliyodharauliwa." ~Togolani Mavura
UJUMBE HUU MUHIMUUkiona watu hawakuelewi, ujue hujaeleweka; usiwakasirikie, endelea kuwaelewesha zaidi hadi waelewe. Ukiwakasirikia, unawafanya wasikuelewe zaidi." ~Togolani Mavura
Jambo laweza kuwa sahihi lakini si sawa. Halikadhalika, laweza kuwa sawa lakini lisiwe sahihi." ~Togolani Mavura.
✔️✔️✔️Kuwekeza nusu ya jitihada na kutegemea matokeo makubwa ni kuamini katika mazingaombwe na ushirikina. Matokeo makubwa ni zao la jitihada kubwa." ~Togolani Mavura.
Kuwekeza nusu ya jitihada na kutegemea matokeo makubwa ni kuamini katika mazingaombwe na ushirikina. Matokeo makubwa ni zao la jitihada kubwa." ~Togolani Mavura.
Kila mtu ana wito wake; ni rahisi sana kufanikiwa ukielekeza nguvu katika wito wako kuliko wa mwenzako. Hujachelewa; itikia wito wako sasa." ~Togolani Mavura
Ukiona watu hawakuelewi, ujue hujaeleweka; usiwakasirikie, endelea kuwaelewesha zaidi hadi waelewe. Ukiwakasirikia, unawafanya wasikuelewe zaidi." ~Togolani Mavura
Hata siku moja hupungukiwi kwa kusaidia, unachotoa ni kile ambacho unaweza kuishi bila kuwa nacho. Utayari na wepesi wa kutoa ulichonacho ni kielelezo cha utajiri wa nafsi yako. Unaweza kumiliki mali na usiwe tajiri. Utajiri ni nafsi si mali. "
Hata siku moja hupungukiwi kwa kusaidia, unachotoa ni kile ambacho unaweza kuishi bila kuwa nacho. Utayari na wepesi wa kutoa ulichonacho ni kielelezo cha utajiri wa nafsi yako. Unaweza kumiliki mali na usiwe tajiri. Utajiri ni nafsi si mali. "
Bila uvumilivu na kujitoa, huwezi kufanikiwa kwa chochote maishani. Iwe kazi, biashara au mahusiano.” - Neil Strauss
✅️✅️Hakuna mtu anabadilika ni vile watu Wameamua kuishi vile Unavyo ishi nao.
Hakuna mtu anabadilika ni vile watu Wameamua kuishi vile Unavyo ishi nao.
MuhimuUsimuombe mtu msaada kwa kumkumbusha wema wako, Wema hauna Risiti.