myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Elimu tunazo, Maarifa tunayo, Juhudi pia tunazifanya, Ila Kuna kitu kinaitwa Time na Bahati Uenda ndio Bado Havijatufikia ili na sisi tuwe kama nyie Tunaamini wakati wa Mungu ni sahihi zaidi.
SawasawaElimu tunazo, Maarifa tunayo, Juhudi pia tunazifanya, Ila Kuna kitu kinaitwa Time na Bahati Uenda ndio Bado Havijatufikia ili na sisi tuwe kama nyie Tunaamini wakati wa Mungu ni sahihi zaidi.
SawasawaMwanasheria mzuri anaijua sheria, Halafu kuna mjanja mmoja yeye Anamjua Hakimu.
SawasawaPindi uonapo cheche usisubiri moto ukufikie, Hakikisha unafanya maamuzi Sahihi.
SawasawaMwanasheria mzuri anaijua sheria, Halafu kuna mjanja mmoja yeye Anamjua Hakimu.
👍👍👍Pindi uonapo cheche usisubiri moto ukufikie, Hakikisha unafanya maamuzi Sahihi.
✔️✔️Pindi uonapo cheche usisubiri moto ukufikie, Hakikisha unafanya maamuzi Sahihi.
Inawezekana kabisa huruma yako ndio chanzo cha matatizo unayo yapitia, Kuwa makini na unao Wahurumia
Usiogope kutupwa na mtu Kama Takataka, Unaweza kuwa mbolea Sehemu nyingine.
Usiogope kutupwa na mtu Kama Takataka, Unaweza kuwa mbolea Sehemu nyingine.
Usiukate mti unaokupa kivuli kwa hasira za muda Mfupi.
SAHIHI KABISAUsiukate mti unaokupa kivuli kwa hasira za muda Mfupi.
Inawezekana kabisa huruma yako ndio chanzo cha matatizo unayo yapitia, Kuwa makini na unao Wahurumia
SawasawaUkiona mtu yuko kimya sio kwamba hawezi kuongea, Kuna muda unachoka kuelewesha watu wasiotaka Kueleweka.
INAWEZEKANA HILIInawezekana kabisa huruma yako ndio chanzo cha matatizo unayo yapitia, Kuwa makini na unao Wahurumia
Ujumbe muhimuHisia mbaya ni kuyaona maisha yako yanapita mbele yako, Bila ya kuishi maisha Uliyo yatamani.
KWELI KABISAUsifanye mzaha na vyanzo vyako vya mapato na usiruhusu mtu avifanyie mchezo, Upendo unaweza kuja na kuondoka, Ila njaa ipo kila siku Ongeza bidii yako kila siku maana hautakuja kuacha kulipa Bill kwenye Hii Dunia Hadi siku unaondoka Hapa.
Usifanye mzaha na vyanzo vyako vya mapato na usiruhusu mtu avifanyie mchezo, Upendo unaweza kuja na kuondoka, Ila njaa ipo kila siku Ongeza bidii yako kila siku maana hautakuja kuacha kulipa Bill kwenye Hii Dunia Hadi siku unaondoka Hapa.