Undugu sikuhizi ni Kama msitu tu , yaani ukiwa nje ya ukoo unaziona familia Kama zipo karibu na zinamshikamano hadi pale utakapo zikaribia na kuingia kwa ndani ndio utagundua kua kumbe kila mtu yupo kivyake na tena ndugu wako mbali mbali tofauti na wanavyoonekana kwa nje