Mstari kati ya maisha ya mtandaoni na maisha nje ya mtandao si mnyoofu tena na unazidi kufutika siku hadi siku. Kabla hujamnanga mtu humu mtandaoni, jiridhishe kuwa njia zako za maisha nje ya mtandao hazitakukutanisha nae mahala ambapo hatma yako itakuwa mkononi mwake.