myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaAliyefanikiwa hajakuzidi akili,kakuzidi matumizi ya muda tu
β οΈβ οΈJichanganye na watu wapya kila wakati ili upate kitu kipya!!
Aliyefanikiwa hajakuzidi akili,kakuzidi matumizi ya muda tu
ππJichanganye na watu wapya kila wakati ili upate kitu kipya!!
ππJifunze Kumshukuru Mungu Hata Kama Bado Hujafanikiwa Maana Pumzi Uliyonayo ni Mtaji tosha Ambao si Kila Mtu Amefanikiwa Kuwa Nao.

Jifunze Kumshukuru Mungu Hata Kama Bado Hujafanikiwa Maana Pumzi Uliyonayo ni Mtaji tosha Ambao si Kila Mtu Amefanikiwa Kuwa Nao.
Aliyefanikiwa hajakuzidi akili,kakuzidi matumizi ya muda tu
βοΈβοΈSaidia watu kwa moyo wa upendo, hata kama unajua hawana cha kukurudishia. Wema wa kweli hauhitaji masharti,utu wa mtu unaangaza zaidi anapochagua kuwa msaada kwa wale wasioweza kumsaidia.
ππSaidia watu kwa moyo wa upendo, hata kama unajua hawana cha kukurudishia. Wema wa kweli hauhitaji masharti,utu wa mtu unaangaza zaidi anapochagua kuwa msaada kwa wale wasioweza kumsaidia.
Saidia watu kwa moyo wa upendo, hata kama unajua hawana cha kukurudishia. Wema wa kweli hauhitaji masharti,utu wa mtu unaangaza zaidi anapochagua kuwa msaada kwa wale wasioweza kumsaidia.

Ukiona mbele ni mbali, usikatishwe tamaa anza na hatua moja ya sasa. Uvumilivu si udhaifu, ni nguvu ya wanaojua wanachokitamani. Weledi haujengwi kwa matokeo ya haraka, bali kwa msimamo wa kila siku.

β οΈβ οΈβ οΈNi jambo linaweza kuwa gumu sana kwa watu wengi haswa sisi vijana na kwa watu wengine pia. Lakini ya kupaswa ufahamu hakuna jambo linaweza kuja kirahisi na kufanikiwa kirahisi. Tambua ya kuwa kila hatua ina mda wake na njia zake zinazopaswa kufwata
Ni jambo linaweza kuwa gumu sana kwa watu wengi haswa sisi vijana na kwa watu wengine pia. Lakini ya kupaswa ufahamu hakuna jambo linaweza kuja kirahisi na kufanikiwa kirahisi. Tambua ya kuwa kila hatua ina mda wake na njia zake zinazopaswa kufwata

Ndoto hutimia lakini inahitaji ujitume, uvumilivu lakini zinachukua muda kuwa kweli". -Sean Mcloughlin