myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kama jambo linahitaji muda ili lifikie ukamilifu,haisaidii kuliwekea juhudi ya kuangalia vipi linaenda haraka, bali kuwa na subra na fanya mambo mengine
Uvumilivu ni silaha yenye nguvu katika safari ya mafanikio. Jitahidi, usikate tamaa!

SawasawaSafari ya mafanikio sio safari rahisi. Kila unayemuona amefanikiwa anayo sura ya huzuni ya kusimulia. Safari hii haitaji kuharakishwa bali yahitaji uvumilivu.
Safari ya mafanikio sio safari rahisi. Kila unayemuona amefanikiwa anayo sura ya huzuni ya kusimulia. Safari hii haitaji kuharakishwa bali yahitaji uvumilivu.
SawasawaNdoto hutimia lakini inahitaji ujitume, uvumilivu lakini zinachukua muda kuwa kweli". -Sean Mcloughlin
Ndoto hazijengwi kwa bahati mbaya bali kwa bidii, nidhamu na uvumilivu. Jitahidi kila siku bila kukata tamaa. Mvua inavyonyeshea mbegu ndivyo maisha yanavyoweza kukuza ndoto zako. Endelea kupambana, na utavuna matunda ya juhudi zako.
InawezekanaTurubai nyumbani kwa mtu ni ishara ya matanga au sherehe , zisome nyakati
Uvumilivu Ndio Kipimo Cha Imani Ndani Yako”Kwa Kadri Unavyopambana Kuifanya Safari Yako Ya Maisha Kuwa Halisi Na Rahisi Unahitaji Uvumilivu Na Kuishinda Hofu Elewa Imani & Kuishinda Hofu Ndio Msingi Wa Uhalali Wa Furaha Yako Kuongezeka

📌📌📌Uvumilivu Ndio Kipimo Cha Imani Ndani Yako”Kwa Kadri Unavyopambana Kuifanya Safari Yako Ya Maisha Kuwa Halisi Na Rahisi Unahitaji Uvumilivu Na Kuishinda Hofu Elewa Imani & Kuishinda Hofu Ndio Msingi Wa Uhalali Wa Furaha Yako Kuongezeka
SawasawaUvumilivu Ndio Kipimo Cha Imani Ndani Yako”Kwa Kadri Unavyopambana Kuifanya Safari Yako Ya Maisha Kuwa Halisi Na Rahisi Unahitaji Uvumilivu Na Kuishinda Hofu Elewa Imani & Kuishinda Hofu Ndio Msingi Wa Uhalali Wa Furaha Yako Kuongezeka
✅️✅️Kuota ni bure,Kuifikia na kuiishi ndoto yako ni gharama
SawasawaNdoto hazijengwi kwa bahati mbaya bali kwa bidii, nidhamu na uvumilivu. Jitahidi kila siku bila kukata tamaa. Mvua inavyonyeshea mbegu ndivyo maisha yanavyoweza kukuza ndoto zako. Endelea kupambana, na utavuna matunda ya juhudi zako.
Ndoto hazijengwi kwa bahati mbaya bali kwa bidii, nidhamu na uvumilivu. Jitahidi kila siku bila kukata tamaa. Mvua inavyonyeshea mbegu ndivyo maisha yanavyoweza kukuza ndoto zako. Endelea kupambana, na utavuna matunda ya juhudi zako.
Turubai nyumbani kwa mtu ni ishara ya matanga au sherehe , zisome nyakati
👍👍Kama unataka kwenda juu sana lazma ukubali kwenda chini sana Ni lazima ufanye kitu cha tofauti kitakachokujengea future imara
SawasawaKama unataka kwenda juu sana lazma ukubali kwenda chini sana Ni lazima ufanye kitu cha tofauti kitakachokujengea future imara
Unapaswa kubadilisha maisha sio yakubadilishe!