myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Tai jike anapoyaondoa manyoa kwenye kiota, anataka tujifunze kwamba kuishi kwa maisha yale yale bila kuchomwa na miiba hutapata uzoefu na maarifa ya kukupeleka kwenye mafanikio.
Tunatakiwa kuziacha mara moja. Sio tabia tu bali hata maarifa. Huenda bado unaishi kwa kutumia maarifa ya zamani ambayo yanakukwamisha kupaa kwa kasi kubwa kwenye mafanikio yako, basi unatakiwa kujifunza maarifa mapya ili uweze kufanikiwa kwa kasi kubwa.
✅️✅️✅️Tunajifunza nini? Wakati mwingine tunatakiwa kuziacha baadhi ya tabia mbaya ambazo zinatukwamisha kufikia mafanikio yetu makubwa.
Tabia zinazotukwamisha kupaa kwa kasi kubwa ni mzigo kwetu
Tunajifunza nini? Wakati mwingine tunatakiwa kuziacha baadhi ya tabia mbaya ambazo zinatukwamisha kufikia mafanikio yetu makubwa.
Tabia zinazotukwamisha kupaa kwa kasi kubwa ni mzigo kwetu
✔️✔️✔️Hata ukiwa na watoto wako, wakati mwingine wapitishe kwa makusudi kwenye mazingira magumu ili wajifunze kitu. Wapitishe mara kwa mara kisha unapomaliza kuwapitisha waulize wamejifunza nini?. Utakuwa unawasaidia.
📌📌Tunatakiwa kuziacha mara moja. Sio tabia tu bali hata maarifa. Huenda bado unaishi kwa kutumia maarifa ya zamani ambayo yanakukwamisha kupaa kwa kasi kubwa kwenye mafanikio yako, basi unatakiwa kujifunza maarifa mapya ili uweze kufanikiwa kwa kasi kubwa.
Hii ya wadadaPediophobia – Hofu ya kuogopa midoli.
SawasawaScelerophobia – Hofu ya kuhofia wahalifu au uhalifu.
AiseeCatoptrophobia – Hofu ya kuogopa kioo au mwonekano wako kwenye kioo.
📌📌Tunatakiwa kuziacha mara moja. Sio tabia tu bali hata maarifa. Huenda bado unaishi kwa kutumia maarifa ya zamani ambayo yanakukwamisha kupaa kwa kasi kubwa kwenye mafanikio yako, basi unatakiwa kujifunza maarifa mapya ili uweze kufanikiwa kwa kasi kubwa.
👍👍Pediophobia – Hofu ya kuogopa midoli.
✔️✔️Taphophobia – Hofu ya kuogopa kuzikwa ukiwa hai kwa makosa na kuamka ndani ya jeneza ardhini.
👍👍Taphophobia – Hofu ya kuogopa kuzikwa ukiwa hai kwa makosa na kuamka ndani ya jeneza ardhini.
✅️✅️Metathesiophobia – Hofu ya kuogopa mabadiliko. Ikiwa hutaki kubadilika na unataka kubaki jinsi ulivyo, basi inawezekana una hofu hii.
✔️✔️Metathesiophobia – Hofu ya kuogopa mabadiliko. Ikiwa hutaki kubadilika na unataka kubaki jinsi ulivyo, basi inawezekana una hofu hii.
Hii SafiiiiiTheophobia – Hofu ya kumwogopa Mungu au dini
📌📌Theophobia – Hofu ya kumwogopa Mungu au dini