myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaAcha lawama. Anza kuwajibika.
✅️✅️Acha lawama. Anza kuwajibika.
📌📌Afya ni utajiri. Kula vyema, lala vyema.
💯Afya ni utajiri. Kula vyema, lala vyema.
Tabia ya mtu huonekana si kwenye maneno, bali kwenye maamuzi anapokasirika, anapokuwa na pesa, au anapokuwa juu kuliko wengine
Afya ni utajiri. Kula vyema, lala vyema.
Kuna tofauti kubwa kati ya "kujua thamani yako" na "kudharau wengine." Jitambue, lakini usijitenge. Jiamini, lakini usije ukawa na kiburi kinachoficha upweke.
Kuna tofauti kubwa kati ya "kujua thamani yako" na "kudharau wengine." Jitambue, lakini usijitenge. Jiamini, lakini usije ukawa na kiburi kinachoficha upweke.
NakubalianaSoma vitabu, si vichwa vya watu
Usiogope kukosea Maisha hayajaja na
Maelekezo
Usiogope kukosea Maisha hayajaja na
Maelekezo
Tunaishi na watu ambao wanaona umuhimu wetu hauna nafasi katika maisha yao.
Epuka mashindano. Maisha sio mbio .
Sawasawa ✔️Soma vitabu, si vichwa vya watu
✅️✅️Mthamini Mtu anayekupa Muda wake, sio Muda tu yeyote anayeshirikiana na wewe kwenye jambo lolote katika Maisha Yako
📌📌Usipoteze utu wako kwa ajili ya nafasi — nafasi huja na kuondoka, lakini utu unakujenga au kukubomoa.
💯Wanakuja na Kuondoka katika Maisha yetu Hivyo usichukue jukumu kubwa la kulazimisha Watu wabaki kwenye Maisha yako
✔️✔️✔️Usipoteze utu wako kwa ajili ya nafasi — nafasi huja na kuondoka, lakini utu unakujenga au kukubomoa.
Wanakuja na Kuondoka katika Maisha yetu Hivyo usichukue jukumu kubwa la kulazimisha Watu wabaki kwenye Maisha yako
Wanakuja na Kuondoka katika Maisha yetu Hivyo usichukue jukumu kubwa la kulazimisha Watu wabaki kwenye Maisha yako