myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mthamini Mtu anayekupa Muda wake, sio Muda tu yeyote anayeshirikiana na wewe kwenye jambo lolote katika Maisha Yako
Mthamini Mtu anayekupa Muda wake, sio Muda tu yeyote anayeshirikiana na wewe kwenye jambo lolote katika Maisha Yako
Usijitoe kupita kiasi kwa watu wasioona thamani yako. Maji hayamiminwi kwenye kikombe kilichopasuka. Toa kwa busara, jitoe kwa wanaojali
Sisi sote ni watenda dhambi kwa namna yetu. Tunachagua dhambi ambazo tunajihisi huru kuzifanya, kisha tunawahukumu waliotenda zile ambazo sisi hatuzikubali.
NakubalianaKitu kinachoumiza zaidi siyo kutoeleweka, ni kueleweka vibaya na wale uliowapigania sana. Sio kila mtu atakuelewa, hata kama utamgusa kwa upendo.
✔️✔️Sisi sote ni watenda dhambi kwa namna yetu. Tunachagua dhambi ambazo tunajihisi huru kuzifanya, kisha tunawahukumu waliotenda zile ambazo sisi hatuzikubali.
Kitu kinachoumiza zaidi siyo kutoeleweka, ni kueleweka vibaya na wale uliowapigania sana. Sio kila mtu atakuelewa, hata kama utamgusa kwa upendo.
Dunia haitakupenda kwa kuwa mkweli. Mara nyingi, ukweli huumiza, na wengi hupenda uongo mzuri kuliko ukweli mchungu. Lakini kuwa mkweli bado ni ushindi wa ndani.

Sawa kabisa hiliUsijitoe kupita kiasi kwa watu wasioona thamani yako. Maji hayamiminwi kwenye kikombe kilichopasuka. Toa kwa busara, jitoe kwa wanaojali
Ujumbe huoSisi sote ni watenda dhambi kwa namna yetu. Tunachagua dhambi ambazo tunajihisi huru kuzifanya, kisha tunawahukumu waliotenda zile ambazo sisi hatuzikubali.
KWELI MDOMO UNAPONZA WENGI..Adui wa kwanza wa maisha yako ni mdomo wako, jifunze kunyamanza. Dunia ya sasa haitaki watu waongeaji hata kama unaongea ukweli utaonekana adui. Jifunze kukaa kimya.
📌📌Adui wa kwanza wa maisha yako ni mdomo wako, jifunze kunyamanza. Dunia ya sasa haitaki watu waongeaji hata kama unaongea ukweli utaonekana adui. Jifunze kukaa kimya.
Sawa piaMaamuzi ya leo ni matokeo ya kesho, amua vyema upate mema: japo kukosea ni njia ya kujifunza pia.
💯Ni jambo la kusikitisha kwamba watu wengine hawajali kusikia upande wako wa ukweli, kwa sababu walichosikia kutoka kwa wengine tayari kinawapa sababu ya kukuona kwa mtazamo walioupenda
SawasawaKuna muda tunachoka ila shida zetu ndio zinatusukuma kupambana.
SawasawaMambo mengine si ya kueleza, ni ya kuishi.Acha kuhalalisha kila uamuzi wako. Fanya, kaa kimya, endelea mbele.
✅️✅️Siku moja utakuwa mahali ambapo siku zote ulitaka kuwa usiache kuamini.
✔️✔️✔️Kama Utafikiria Kilicho Kuumiza Utaumia Zaidi, Lakini Ukifikiria funzo kwa kile Kilicho Kuumiza Utakua Imara Zaidi.