myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
UJUMBE WA WOTEBaadhi ya watu mioyo yao ni kama majani yaliyokauka kwenye msimu wa Kiangazi, hata uyamwagilie maji kiasi gani kamwe hayawezi kuwa ya kijani. Wala usiichoshe nafsi yako
SawasawaEndapo ukizingirwa na uzito kwenye kila pande, basi tambua kwamba wepesi umejificha kwenye Kona iliyo karibu yako.
Uzito hauji ila lazima uambatane na wepesi
👍👍Shoka husahau, lakini mti hukumbuka.
Mwenye kutenda ubaya ni rahisi kusahau, ila mwenye kutendewa ubaya ni vigumu kusahau
✅️✅️Endapo ukizingirwa na uzito kwenye kila pande, basi tambua kwamba wepesi umejificha kwenye Kona iliyo karibu yako.
Uzito hauji ila lazima uambatane na wepesi
📌📌Mambo 5 Ya Kutochukulia Poa:
1. Uhai wako.
2. Afya yako ya akili.
3. Watu wa kweli maishani.
4. Muda wako.
5. Mipango yako .
💯💯Mambo 5 Usiyojisahau Unapompenda Mtu:
1. Hekima yako.
2. Ndoto zako.
3. Heshima yako.
4. Marafiki zako wa kweli.
5. Thamani yako.
✔️✔️Mambo 5 Kuhusu MAJIBU:
1. Kimya ni jibu.
2. Tabia ni jibu.
3. Kutojibu pia ni jibu.
4. Kujiondoa ni jibu.
5. Maisha hutoa majibu bila kuuliza.
Mambo 5 Ambayo Hayarudi Tena:
1. Neno ulilosema.
2. Muda uliopoteza.
3. Nafasi uliyodharau.
4. Imani uliyovunja.
5. Upendo uliotupilia mbali.
Sawasawa ✔️ ✔️Ukweli mchungu: Kuna watu hawajali ukiishi au ukifa, lakini wanakuangalia kila siku kwenye status zako. Dunia imejaa waigizaji wa uhalisia.
SahihiMambo 4 Kuhusu WATU:
1. Wanabadilika.
2. Wanakutumia.
3. Wanakuchekea ila moyoni hawako hivyo.
4. Wanakusahau haraka.
Mambo 4 Kuhusu WATU:
1. Wanabadilika.
2. Wanakutumia.
3. Wanakuchekea ila moyoni hawako hivyo.
4. Wanakusahau haraka.