Ujinga ni mzigo na elimu sio ya darasani tu,elimu ni ujuzi/utambuzi unaopata juu ya suala fulani.Usifanye jambo lolote bila kuwa na elimu nalo,wengi tunafeli kisa hatuna elimu ya kutosha juu ya ndoa,biashara,kazi.Elimu sio ghali,ni utayari wako tu wa kujua mambo.