Dunia inaadhibu sana ukitaka kushindana nayo, tenga muda wa kufikiria wangapi walikuwepo kabla yako na sasa wako wapi lakini yenyewe bado ipo tuu na hata mimi na wewe tutaiacha vilevile. Sio busara nyingi sana zinahitajika kujua hili isipokuwa kila kitu kinaonekana, ni Mungu tuu.