Mungu anakulipa wema wako unaoufanya kwa namna nyingi sana usizojua, na muda mwingine ukihisi ni jitihada zako binafsi kumbe ni ule wema uliotenda hata zaidi ya miaka na wewe ukawa umesahau. Tenda tuu wema ila tegemea malipo kwa Mungu yeye pekee ndiye anajua tusiyoyajua.