Elimu bora zaidi ni ile inayokusaidia: kujua usiyoyajua, kujua namna ya kuyajua, kujua wakati na namna ya kuonyesha unajua, kujua kuwa "ujuaji" ni sifa ya wasiojua wasichojua, kujua kuwa hakuna mashindano ya kujua, na kujua kuwahakuna mwisho wa kujua