Maisha ni safari yenye changamoto na mafunzo Ondoa aibu, simama imara, na jifunze kuweka mipaka. Si kila mtu atathamini msaada wako, lakini heshimu juhudi zako. Lawama ni sehemu ya maisha zisitikise nia yako njema Kujilinda kifedha si ubaya bali ni hekima Endelea kuwa mwadilifu.