The rich live poor,the poor live rich.
Tajiri mara nyingi hununua vitu kwa jumla ambayo ni nafuu ila masikini hununua mahitaji yote kwa rejareja ambayo ni ghali.
Pia tajiri hahitaji muonekano kuwa tajiri ila masikini atajitahidi kununua vitu ghali kujifariji.