"Si bahati mbaya kwamba midomo, macho na masikio imewekwa mbele ya paji la uso na si kisogoni. Makusudi yake tukabiliane uso kwa uso na kumaliza tofauti zetu, na si kuviziana kisogoni. Mwenye nia na dhamira njema hukukabili usoni, mwenye dhamira ovu hukuzunguka nyuma