Ndege wote wana mabawa lakini si wote wanaruka, wanaoruka si wote wanapaa, hata wanaopaa si wote wanaopaa katika masafa mamoja, wako wanaoruka juu sana kama tai na wanaoruka chinichini kama chiriku. Tumeumbwa sawa lakini kwa malengo tofauti hapa duniani. Tufurahie tofauti zetu!"