Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
💯Siku zote Omba uwe na macho ya kuona yaliyo bora, moyo unaosamehe mabaya na roho isiyopoteza imani.
Aiseemafanikio huja kwa juhudi pamoja na imani na malengo ulio panga kufikia usichague kazi au kudharau kazi yako kwani hata mvua ina nyakati zake ipo siku nyakati za mafanikio yako zitaonekana
Aiseemafanikio huja kwa juhudi pamoja na imani na malengo ulio panga kufikia usichague kazi au kudharau kazi yako kwani hata mvua ina nyakati zake ipo siku nyakati za mafanikio yako zitaonekana
Siku zote Omba uwe na macho ya kuona yaliyo bora, moyo unaosamehe mabaya na roho isiyopoteza imani.
📌📌Kama bado Haupo chini ya Ardhi hakuna siku mbaya,
Kuna siku iliyoenda tofauti.