myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππDaima ishi maisha yako ukikumbuka, pumzi yako ni ndoto za wengi waliolala makaburini.
β οΈβ οΈβ οΈDaima ishi maisha yako ukikumbuka, pumzi yako ni ndoto za wengi waliolala makaburini.
βοΈβοΈβοΈUkichelewa hata maamuzi sahihi yanaweza kukuponza.
π―π―Ukichelewa hata maamuzi sahihi yanaweza kukuponza.
ππUkichelewa hata maamuzi sahihi yanaweza kukuponza.
SawaKufanikiwa ni safari ndefu lakini yenye thamani! Endelea kufanya kazi kwa bidii na kujitolea, mafanikio yatakuja tu. Usikate tamaa na endelea kusonga mbele!
ππKufanikiwa ni safari ndefu lakini yenye thamani! Endelea kufanya kazi kwa bidii na kujitolea, mafanikio yatakuja tu. Usikate tamaa na endelea kusonga mbele!
Usiwasahau Wakupao Moyo sasa, maana ndio chachu ya Mafanikio yako ya baadae, Usiiangalie JANA kwa HASIRA wala KESHO kwa UOGA bali itazame LEO kwa HEKIMA na BUSARA huku ukimtanguliza MUNGU kwa kila JAMBO.
β οΈβ οΈUsiwasahau Wakupao Moyo sasa, maana ndio chachu ya Mafanikio yako ya baadae, Usiiangalie JANA kwa HASIRA wala KESHO kwa UOGA bali itazame LEO kwa HEKIMA na BUSARA huku ukimtanguliza MUNGU kwa kila JAMBO.
AiseeUsiwasahau Wakupao Moyo sasa, maana ndio chachu ya Mafanikio yako ya baadae, Usiiangalie JANA kwa HASIRA wala KESHO kwa UOGA bali itazame LEO kwa HEKIMA na BUSARA huku ukimtanguliza MUNGU kwa kila JAMBO.
KweliMafanikio ni Maombi, mipango, muda, juhudi, umakini na udhatiti.
Kamwe usichukie kuwa wewe. Usijichukie kwa sababu ya wengine. Kila mtu ana thamani yake duniani. Amini Iko sababu ya wewe kuwa hapo ulipo leo hii.