myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMafanikio ni Maombi, mipango, muda, juhudi, umakini na udhatiti.
SawasawaKama mvua tuu inasafiri umbali mrefu hadi kufikia ngozi yako.
Hivyo hivyo ulichoandikiwa kitakufikia
Muombe sana MUNGU.
✔️✔️✔️Kuna muda baadhi ya mambo yanaweza kukuchukiza ila kwa bahati mbaya huwezi kubadilisha mambo yote lakini katika yote unapaswa kuwa mshindi.
Kama mvua tuu inasafiri umbali mrefu hadi kufikia ngozi yako.
Hivyo hivyo ulichoandikiwa kitakufikia
Muombe sana MUNGU.
Kuna muda baadhi ya mambo yanaweza kukuchukiza ila kwa bahati mbaya huwezi kubadilisha mambo yote lakini katika yote unapaswa kuwa mshindi.
✅️✅️Upendo ni lugha inayoweza kuzungumza na yeyote yule,haijalishi kuwa ni kilema,tajiri au maskini.
Kamwe usichukie kuwa wewe. Usijichukie kwa sababu ya wengine. Kila mtu ana thamani yake duniani. Amini Iko sababu ya wewe kuwa hapo ulipo leo hii.
Maumivu ni mengi sana kwenye nafsi zetu, Tumebeba mambo mengi ambayo Hatujui ni wapi sehemu sahihi pakwenda kueleza, Na hii ndio sababu ya vijana wengi tunaishi na msango wa mawazo. Utaye mueleza naye anakutangaza.
SawasawaMafanikio huja Kwa kile unachofanya na Kwa wale wanaojituma. Wachache hufanikiwa Kwa jinsi tuu wanavyooneka .
SawasawaIshi dunia ikupandishe yenyewe, usije ishi dunia ikakushusha utadhalilika sana.
NakubalianaUsijenge ndoto zako juu ya maumivu ya watu wengine,malipo yake itakua ni kuishi bila furaha.
Kila mtu ana kusudi la kuwepo alipo,wewe sio muhim kuliko wengine.
Chagua njia sahihi ya kufika utakako,vilio na manung'uniko ya watu huleta laana hasa vikiwa vya haki.
Sahihi piaUsijenge ndoto zako juu ya maumivu ya watu wengine,malipo yake itakua ni kuishi bila furaha.
Kila mtu ana kusudi la kuwepo alipo,wewe sio muhim kuliko wengine.
Chagua njia sahihi ya kufika utakako,vilio na manung'uniko ya watu huleta laana hasa vikiwa vya haki.