myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubalianaUsijenge ndoto zako juu ya maumivu ya watu wengine,malipo yake itakua ni kuishi bila furaha.
Kila mtu ana kusudi la kuwepo alipo,wewe sio muhim kuliko wengine.
Chagua njia sahihi ya kufika utakako,vilio na manung'uniko ya watu huleta laana hasa vikiwa vya haki.
SawaUkipunguza Tamaa Utagundua Sio Kila Mtu Mwenye Pesa Ni Muhimu Kwenye Maisha Yako
✔️✔️Ukipunguza Tamaa Utagundua Sio Kila Mtu Mwenye Pesa Ni Muhimu Kwenye Maisha Yako
Hili sawaKila kitu kinahitaji kupewa nafasi ya pili isipokuwa kuaminiwa".
Sawa kabisaMaisha yanatuadhibu kwa namna nyingi sana, sometimes yanatukutanisha na watu wasio sahihi na matendo yao ndiyo yanatutambulisha na hapo hapo tunajifunza na kuweka umakini zaidi na hizo ndio zile nyakati zake za kustaajabisha
SawasawaMaisha yanatuadhibu kwa namna nyingi sana, sometimes yanatukutanisha na watu wasio sahihi na matendo yao ndiyo yanatutambulisha na hapo hapo tunajifunza na kuweka umakini zaidi na hizo ndio zile nyakati zake za kustaajabisha
SawasawaKama tunaomba MUNGU wenyewe kwa siri,, haiwezekani atakachotujibu kiwe kwa ajili ya kuwaonyesha wengine waumie.
Maisha....Maisha yanatuadhibu kwa namna nyingi sana, sometimes yanatukutanisha na watu wasio sahihi na matendo yao ndiyo yanatutambulisha na hapo hapo tunajifunza na kuweka umakini zaidi na hizo ndio zile nyakati zake za kustaajabisha
Ujinga ni mzigo na elimu sio ya darasani tu,elimu ni ujuzi/utambuzi unaopata juu ya suala fulani.Usifanye jambo lolote bila kuwa na elimu nalo,wengi tunafeli kisa hatuna elimu ya kutosha juu ya ndoa,biashara,kazi.Elimu sio ghali,ni utayari wako tu wa kujua mambo.
Ujinga ni mzigo na elimu sio ya darasani tu,elimu ni ujuzi/utambuzi unaopata juu ya suala fulani.Usifanye jambo lolote bila kuwa na elimu nalo,wengi tunafeli kisa hatuna elimu ya kutosha juu ya ndoa,biashara,kazi.Elimu sio ghali,ni utayari wako tu wa kujua mambo.
SawasawaNjia unayopita kwa kutoa machozi wapo wanaopita kwa furaha na saa uliyoonesha tabasamu wapo waliotoa kilio. Nyakati ni sawa ila mapito ni tofauti. Jifunze kuheshimu mapito yako naya watu wengine maana siku utakuyokosa yupo atakaepata na siku utakayosimama yupo atakae anguka
📌📌Hakuna uchungu ambao Mwenyezi Mungu hauelewi. Hakuna mapambano Mwenyezi Mungu asiyoyajua. Hakuna kilio Mwenyezi Mungu anapuuza Endelea tu Kumuamini.
SawaNjia unayopita kwa kutoa machozi wapo wanaopita kwa furaha na saa uliyoonesha tabasamu wapo waliotoa kilio. Nyakati ni sawa ila mapito ni tofauti. Jifunze kuheshimu mapito yako naya watu wengine maana siku utakuyokosa yupo atakaepata na siku utakayosimama yupo atakae anguka
Uko sawaUjinga ni mzigo na elimu sio ya darasani tu,elimu ni ujuzi/utambuzi unaopata juu ya suala fulani.Usifanye jambo lolote bila kuwa na elimu nalo,wengi tunafeli kisa hatuna elimu ya kutosha juu ya ndoa,biashara,kazi.Elimu sio ghali,ni utayari wako tu wa kujua mambo.
Nakubaliana na weweMungu anakulipa wema wako unaoufanya kwa namna nyingi sana usizojua, na muda mwingine ukihisi ni jitihada zako binafsi kumbe ni ule wema uliotenda hata zaidi ya miaka na wewe ukawa umesahau. Tenda tuu wema ila tegemea malipo kwa Mungu yeye pekee ndiye anajua tusiyoyajua.
Kweli kabisa hiliDunia inaadhibu sana ukitaka kushindana nayo, tenga muda wa kufikiria wangapi walikuwepo kabla yako na sasa wako wapi lakini yenyewe bado ipo tuu na hata mimi na wewe tutaiacha vilevile. Sio busara nyingi sana zinahitajika kujua hili isipokuwa kila kitu kinaonekana, ni Mungu tuu.
👍👍Mungu anakulipa wema wako unaoufanya kwa namna nyingi sana usizojua, na muda mwingine ukihisi ni jitihada zako binafsi kumbe ni ule wema uliotenda hata zaidi ya miaka na wewe ukawa umesahau. Tenda tuu wema ila tegemea malipo kwa Mungu yeye pekee ndiye anajua tusiyoyajua.
SawaWatafutaji huwa hawaelewani kabisa na watu wenye chuki..Kifupi hawaongei lugha moja
✅️✅️Mungu anakulipa wema wako unaoufanya kwa namna nyingi sana usizojua, na muda mwingine ukihisi ni jitihada zako binafsi kumbe ni ule wema uliotenda hata zaidi ya miaka na wewe ukawa umesahau. Tenda tuu wema ila tegemea malipo kwa Mungu yeye pekee ndiye anajua tusiyoyajua.
✔️✔️Mungu anakulipa wema wako unaoufanya kwa namna nyingi sana usizojua, na muda mwingine ukihisi ni jitihada zako binafsi kumbe ni ule wema uliotenda hata zaidi ya miaka na wewe ukawa umesahau. Tenda tuu wema ila tegemea malipo kwa Mungu yeye pekee ndiye anajua tusiyoyajua.