KELVIN RICHARDSONHuyu ana uwezo mkubwa sana wa kuwaelewa wanyama. Ana uwezo mkubwa sana wa kufanya urafiki hata na wanyama wakali zaidi duniani bila tabu yoyote. Ana uwezo wa kuwa na urafiki na chui, simba na fisi. Huwafanya marafiki na hata kulala nao pia.