Je, ngozi yako ina uwezo wa kujivuta kwa kiasi gani? Kutana na jamaa huyu ambae ngozi yake hujivuta kama mpira. Huivuta ngozi yake kwa namna mbali mbali. Hii inatokana ngozi yake kupungua 'Collagen'

Anajulikana kuwa na meno ya ajabu yenye nguvu sana maarufu kama 'steel teeth'.Ana uwezo wa kuvuta treni ya mabehewa saba akitumia meno yake kuivuta kwa kutumia kamba ya chuma.Anajulikana pia kwa jina la KING TOOTH.

TIBETAN MONKS
Wana uwezo wa kuweka sawa JOTO la miili yao kwa kutumia akili au ufahamu wao.Wana uwezo qa kubadili joto la miili yao kwa kutumia akili yao tu.Wamewahi kurekodiwa wakibadili jotoridi lao kufikia kiasi cha nyuzi joto 8 za sentigredi.
TIBETAN MONKS
Wana uwezo wa kuweka sawa JOTO la miili yao kwa kutumia akili au ufahamu wao.Wana uwezo qa kubadili joto la miili yao kwa kutumia akili yao tu.Wamewahi kurekodiwa wakibadili jotoridi lao kufikia kiasi cha nyuzi joto 8 za sentigred
Kudharauliwa kwako leo isiwe sababu ya wewe kusahau Ndoto zako, Dharau zao Kwako kesho Zinaweza kuwa ni Moja ya kielelezo Kikubwa sana cha Ushindi na Mafanikio Yako