myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaKELVIN RICHARDSONHuyu ana uwezo mkubwa sana wa kuwaelewa wanyama. Ana uwezo mkubwa sana wa kufanya urafiki hata na wanyama wakali zaidi duniani bila tabu yoyote. Ana uwezo wa kuwa na urafiki na chui, simba na fisi. Huwafanya marafiki na hata kulala nao pia.
✅️✅️Kudharauliwa kwako leo isiwe sababu ya wewe kusahau Ndoto zako, Dharau zao Kwako kesho Zinaweza kuwa ni Moja ya kielelezo Kikubwa sana cha Ushindi na Mafanikio Yako
✔️✔️Kudharauliwa kwako leo isiwe sababu ya wewe kusahau Ndoto zako, Dharau zao Kwako kesho Zinaweza kuwa ni Moja ya kielelezo Kikubwa sana cha Ushindi na Mafanikio Yako
SawasawaKuwa na uhusiano mzuri na familia na marafiki huongeza furaha, kupunguza msongo wa mawazo, na kusaidia afya ya akili.
📌📌CLAUDIO PINTO
Huyu anajulikana kama MACHO YA DARUBINI. Ana uwezo wa kuyatanua macho yake kipimo cha 7mm ambapo ni kiasi cha 95% ya mzunguko wa jicho lake.
DuhRATHAKRISHNAN VELU
Anajulikana kuwa na meno ya ajabu yenye nguvu sana maarufu kama 'steel teeth'.Ana uwezo wa kuvuta treni ya mabehewa saba akitumia meno yake kuivuta kwa kutumia kamba ya chuma.Anajulikana pia kwa jina la KING TOOTH.
AiseeGARRY TURNER
Je, ngozi yako ina uwezo wa kujivuta kwa kiasi gani? Kutana na jamaa huyu ambae ngozi yake hujivuta kama mpira. Huivuta ngozi yake kwa namna mbali mbali. Hii inatokana ngozi yake kupungua 'Collagen'
Kweli hiliHospitali ziko kibiashara, usipojali afya yako, jiandae kuwatajirisha
Sawasawa ✔️Sio Kila Unachokitaka Ni Riziki Yako Mungu Ana Mipango Ambayo Mara nyingi Hatuioni, Ukikosa Kitu Usilie Sana Pengine kilikukosa Na Wewe Pia.
Nakubaliana na hiliSio Kila Unachokitaka Ni Riziki Yako Mungu Ana Mipango Ambayo Mara nyingi Hatuioni, Ukikosa Kitu Usilie Sana Pengine kilikukosa Na Wewe Pia.
Kweli kabisaKuna MUDA Tunapitia Mambo Magumu Sana Ambayo Hata Ukimsimulia Mtu Anaona Ni Jambo La Kawaida Kwa sababu Yeye Hayajamfika.
Nakubaliana na hiliKwenye Haya Maisha Tunategemeana, Hakuna Mtu mzuri kwa kila Mtu wala Hakuna Mtu Mbaya kwa kila Mtu.
👍👍Kuna MUDA Tunapitia Mambo Magumu Sana Ambayo Hata Ukimsimulia Mtu Anaona Ni Jambo La Kawaida Kwa sababu Yeye Hayajamfika.
AiseeKwenye Haya Maisha Tunategemeana, Hakuna Mtu mzuri kwa kila Mtu wala Hakuna Mtu Mbaya kwa kila Mtu.
KweliSio Kila Unachokitaka Ni Riziki Yako Mungu Ana Mipango Ambayo Mara nyingi Hatuioni, Ukikosa Kitu Usilie Sana Pengine kilikukosa Na Wewe Pia.
Nakubaliana na weweHakuna Mtu Anayejali kuhusu Wewe kama Unavyofikiria, Kwa hiyo Acha Uoga Na Aibu,Pambana kujitengenezea Fursa Zako Mwenyewe
Ni sawaHakuna Mtu Anayejali kuhusu Wewe kama Unavyofikiria, Kwa hiyo Acha Uoga Na Aibu,Pambana kujitengenezea Fursa Zako Mwenyewe
Kimya Chako Kina Nguvu Kuliko Kelele Zako, Wengine Wataelewa Thamani Yako Baada Ya Kukupoteza
📌📌📌Kimya Chako Kina Nguvu Kuliko Kelele Zako, Wengine Wataelewa Thamani Yako Baada Ya Kukupoteza
Unapofanya jitahidi kila siku Unaweza kuona kama Mambo Yapo vile vile ila Ukiangalia Ulipotoka Ndio Unagundua Mambo Yanabadilika.