myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Unapofanya jitahidi kila siku Unaweza kuona kama Mambo Yapo vile vile ila Ukiangalia Ulipotoka Ndio Unagundua Mambo Yanabadilika.
Hakuna Kitu kizuri kinachokuja Kirahisi, Kila Unachodhani Unastahili Kuwa Nacho kinahitaji Bidii, Uvumilivu Na Kujitoa

Hili sahihiHakuna Mtu Anayejali kuhusu Wewe kama Unavyofikiria, Kwa hiyo Acha Uoga Na Aibu,Pambana kujitengenezea Fursa Zako Mwenyewe
Mungu Akikuinua Ukapata Pesa Ndefu Bila Hekima, Huibuka Majivuno , kiburi Na Dharau Na Hapo Ndio Anguko Lako.

Uko sawaMaisha Ya kitaa Yana Mitihani Migumu Sana, Hata Option Ya kuangalizia Haipo, Kila Mtu Ana Swali Lake
Mungu Akikuinua Ukapata Pesa Ndefu Bila Hekima, Huibuka Majivuno , kiburi Na Dharau Na Hapo Ndio Anguko Lako.
ππKama Watoto wa ndugu zako Hawakuheshimu Basi Ujue Hao Ndugu zako Hua wanakusema Vibaya Ukiwa Haupo
Kama Watoto wa ndugu zako Hawakuheshimu Basi Ujue Hao Ndugu zako Hua wanakusema Vibaya Ukiwa Haupo
Rafiki Angu Usikate Tamaa MUNGU Anaweza Kubadili kila Kitu Katika Maisha Yako kwa Dakika Tu.
Amini katika kile Ambacho Moyo Wako Unakushuhudia Kua Ni kweli Na Sio katika Yale Ambayo Watu Wanasema
Maisha hayakupi kile unachotamani, bali kile unachofanyia kazi. Weka bidii kimya kimya, acha matokeo yazungumze kwa sauti.

Watu wengi watajaribu kukukatisha tamaa kwa sababu hawawezi kuona unachoona ndani ya nafsi yako. Usiruhusu upofu wao uwe sababu ya wewe kuacha kuamini ndoto zako.

SawasawaWatu wengi watajaribu kukukatisha tamaa kwa sababu hawawezi kuona unachoona ndani ya nafsi yako. Usiruhusu upofu wao uwe sababu ya wewe kuacha kuamini ndoto zako.
Ukitumia ujana wako kwa kukimbizana na starehe, utatumia utu uzima wako kwa kukimbizana na majuto. Leo ndiyo muda sahihi wa kujenga maisha unayoyataka miaka ijayo.