Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I really appreciate my brother!
Ni kwa wote kwenye uzi huu!
Wote!
Tumekuwa na ushirikiano kama nyuki!
Tunatengeneza asali yenye utamu!
Na isiyo haribika!
I totally appreciate!
Tena nyuki wa mashineni[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hatuna madhara na mtu....akhu!!!!! Hello... memba wa uzi maalum,kumekucha tena, Mungu ana makusudi na sisi kuwepo hapa tena.Upendo kwa wote ndio kusudio lake...Kichwa kichafu (....wa mashineni) na mchina hawayuuuuuni huko[emoji79] [emoji79] [emoji79] [emoji79] ???.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…