Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Sawa mkuuNapenda kuwashukuru kuchukua nafasi hii kuwasalimia Dada zangu na kaka zangu humu JF.
Maana mimi ni bado mdogo mno kuliko wote humu JF ila nimebarikiwa na Mungu kuwa great thinker. ( greti thinka )
Mungu aibariki jumapili hii iwe njema kwenu na msisahau kufanya ibada.
Ninawafyagilia wafuatao kwa umiminaji wa likesMATOKEO mobile application
> Kidato cha sita: BOFYA HAPA
> Kidato cha nne: BOFYA HAPA
Other altenative: MATOKEO - Kidato cha SITA – Applications Android sur Google Play
DuhNinawafyagilia wafuatao kwa umiminaji wa likes
View attachment 543367
Jipimeni
Jirani nakusabahi[emoji137][emoji137]09:20
Asante pamoja
Asante sana
Rashford Marcus Makame Rashidi kuna story moja nitakupa kuhusu huyu dogo ni mzanzibari
Watu kama hawa nawaruka post zao zinazofuata[emoji57][emoji57][emoji57]Unampa MTU likes 20 yeye hatoi Hata moja!!! Lakini ana posti kibao na zinapewa likes
Ok