Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usilinganishe Maisha yako na Mtu mwengine Jua na Mwezi havilingani lakini kila kimoja hung'aa wakati wake Ukifika
 
Sikuhizi elimu ya darasani pekeake haisaidii kitu bila kua na elimu ya kiroho pamoja na elimu ya maisha ya mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…