1.Wakati mwingine maisha yanakupeleka mahali ambapo hujawahi kufikiria.
2.Unajikuta huna kazi, huna pesa, huna mtu wa kukuamini.
3. Na mbaya zaidi — huna nguvu ya kuanza tena.
4.Lakini ndani ya hilo giza, kuna mwanga mdogo unawaka.
5.Unaitwa: “Usikate tamaa.”