Masomo kuhusu maisha hakuna mtu ambaye atakufudisha
1. Watendee wengine jinsi unavyopenda kutendewa
2. Heshimu maoni ya wengine, hata kama hukubaliani nao
3. Samehe na kusonga mbele
4. Kuwa mwenye kujiamini lakini usiwe na kiburi
5. Jifunze kutokana na makosa yako.