Iko sawa machoni pakoEee Mungu.
Uone kama nipo njia ile iendayo
AminaUkaniongoze katika njia ya haki na milele
Tena kwa malengoMaana wewe ndiye umeniumba
Uwe wa mileleUzima wangu eeee Mungu
Njia yangu isiwe giza na uteleziMacho yako yaliniona Mungu
Kilio changuNimekuita unisikie