Haijalishi Giza Linakuwa Zito Kiasi Gani, Asubuhi Huangaza tu. Ndivyo Ilivyo Pia Kwenye Maisha Yetu, Changamoto, Huzuni na Majaribu Havidumu Daima. MUDA ni Zawadi Kubwa Kutoka kwa Mungu, Ndio Maana Hatupaswi Kuishi Tukifungwa na Makosa ya Jana, Bali Tuitengeneze Leo ili Kesho iwe