Linda amani yako, Jali afya yako, Tembea kwenye njia yako, usiweke kila kitu mtandaoni, fanya kazi kwa bidii kimya kimya, Fanya mazoezi ya mwili wako, ulishe vizuri, weka akiba ya fedha zako, na ufurahie maisha unayoyajenga. Hakuna mtu anayekuja kukusaidia