Mungu hakosei hata siku moja, huo uwezo aliokupa ambao pengine wewe unauona mdogo kwa kujilinganisha na wengine ana sababu zake. Ni jukumu lako kutumia uwezo ulionao kupata kile unachokaitaka maishani. Hukuja duniani ili uwe maskini. Vumbua kipaji chako