Unaanza kuambiwa elimu ni bora kuliko pesa,unaaminishwa utajiri ni mbaya na unaambiwa umri wa kushika pesa bado ila ghafla inabadilika kuwa pesa ndio kila kitu.Hapa ndio ujana huharibika,elimu,dini na jamii haituandai ipasavyo.
Elimu ya pesa ianze mapema sana