Jifunze sheria za dunia. Mfano, sheria ya fidia: "Kipato unachoingiza ni sawa na umuhimu wa kile unafanya, uwezo wako wa kukifanya na ugumu wa watu kupata mbadala wako.
Porn, Netflix, soda, energy, madawa, GMO n.k wanapiga pesa mbaya sana na jamii inanunua tena kila siku. Usiogope kuuza kitu unachokileta mbele za watu kusaidia kuimprove maisha.