Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Thamani yako ndio inaamua madili, kazi, washikaji na hata wasichana wa kuwa nao. Ipandishe.
 
Usiwaambie wengine mambo mengi sana kuhusu wewe.Kumbuka kwamba wakati wa wivu, kipofu huanza kuona, bubu huanza kuongea, na kiziwi huanza kusikia.
 
Kila kitu kilichotokea kwenye maisha yako, unawajibika 100%. Yabebe mambo yako hakuna wa kumsingizia.
 
Pesa hufata neema. Wanawake wengi hufata neema. Jitengeneze kwa wa thamani. Kila kitu kitaingia kwenye mfumo.
 
Jifunze kujiweka mbele wewe kwanza. Dunia haina maana. Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Tafiti: Mtu anapofariki, kwa dakika kadhaa uwezo wa kusikia ndio huwa kitu cha mwisho kupotea, hivyo anakuwa na uwezo wa kusikia kinachoendelea na kutambua kuwa amekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…