Aisee upo ulipotelea wapiHuu uzi hauishi tuu[emoji3][emoji5]
Ni maisha ya baharini.Kula na kuliwa
Kusifia na kukosoaKuna majira ya masika na majira ya kiangazi
Nzuri kwa hisani ya andjulHabarini za jumapili wapenzi
Nipo mkuu,Kichwa kakimbilia kwenye gospo leoMkuu upo na mikwara yako
Iwe pia naweAmani ya Bwana iwe pamoja nanyi
Upate ndooGombania goli
Haya niko nasubiri hapaHilo sio tatizo mama,wee mchome huyo kuku vizuuuri.Kitiiiiz rosti nakuletea pia
They reveal the gospel truthNumbers never lie
Men lies
Women lies
But numbers can't lie
Nasi piaIwe kwako pia Mtumishi wa Bwana.