Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mlamba asali huchonga mzingaChururu si ndo ndo ndo
Acha tu!Bwana atakuongezea karama
Naombeni Likes
Msafwa
Mpoloto, Mbeya
Nyuki wa uzi huu walahiMlamba asali huchonga mzinga
Kanikera sana huyu member.. Hatuhitaji matusi humo aende mbele hukoNo matusi humu kama utaki no post za kijinga
Si kweli jamani!Ni kweli kabisa
AMUN RANeno msamaha kwa mwelevu linamuinua
Wafu hawajui lolote kamweUnyayo unajua wapi kiatu kinabana
Back id hiyo imeanzwa kwa lengo hilo mpotezee tu huyoKichwa kichafu naona Leo kuna mtu ameamua kutuchafua humu
Penye kheri ni barakaKila likuepukalo mja, lina heri nawe.
HahahaahahMhhhh Mimi namuombea njaa tu
Ogopa chui aliyevaa ngozi ya kondooChui hakumbatiwi
Is in my mind