mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pole sana my princessHawana adabu walinidokolea elfu kumi kumi zangu meza ya garden sina hamu nao...
Palivyo pakubwa na bustani... nikawa najiuliza majani yapo bomba hata zikipeperuka haziwezi kudumbukia mahala kujificha eeeeeh
Na nilijua hamna aliyesogea kwenda upande huo sababu niliingia ndani kuchukua kitu... zikawa pale nitume kitu eeeeeh bora moja shaaaaa zote hapana
The dereva akasema lazima kunguru...shaaaaaa nikaja weka kujaribu sikuamini ni wezi hivyoooo
Yakaja mawili yanazunguka
Eeeeh sina hamu nao kabisaaaaaa
Wezi wakubwaaaaa
Mipaka yaani nyauNyama ya ng'ombe ina mipaka yake.
Yap the chosen oneMnakimbiza uzi balaa
Wazuri sanaNyoka
Post sent using JamiiForums mobile app
Haha haha nice name for him todayMtumish wa bwana kichwa kichafu
Nishapata kumbato nimerudi kuchungulia kidogo[emoji102] [emoji102]hizo vuvuzela na tarumbeta leo mnapuliziana wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shem Heri uwahi kwa Cole Williams ukapate kumbato bashasha.
Siyo utaniWadau tumekimbiza huu uzi
IliyojeKichwa kichafu
Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
Ni furaha
Kaka heshima kwako banaYap the chosen one
Panavutia
Wonderful[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji7][emoji7][emoji7][emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178]
KuhukumiwaWanadamu wote watakusanyika mbele zake Mungu
For everythingThanks